Utayari na mikakati ya nchi za Afrika Mashariki kudhibiti majanga katika kipindi cha El Nino
Manage episode 378732591 series 1146275
Kulingana na wataalam, hali ya mabadiliko ya tabianchi imechangia pakubwa matukio ya el nino ambayo kwakawaida, athari zake hazitabiriki, lakini huathiri hali ya hewa duniani, kuanzia joto kali, mvua nyingi huku pia ikisababisha hali ya ukame katika baadhiya maeneo
24 एपिसोडस