Mjasiriamali सार्वजनिक
[search 0]
अधिक
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu kufanya mauzo kwenye mtandao, Zacharia akahudhuria moja ya Instagram Live niliyofanya na Pius na kujinyakulia kozi zetu moja baada ya nyengine huku kipato chake kikikuwa.
  continue reading
 
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuongea mbele ya umati wa watu basi sehemu ya podcast ya leo itabadilisha maisha yako. Katika sehemu hii nimemualika mzungumzaji mashuhuri hapa Tanzania Coach James kumwaga madini ya namna ya kubobea katika hii profession. Hakikisha una kalamu na karatasi na enjoy darasa la leo.…
  continue reading
 
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga uaminifu kwenye soko lako basi Kuna uwezekano mkubwa hujajenga brand yenye kuaminika. Ndani ya sehemu hii nimemfanyia interview mtaalamu wa mambo ya branding Mr. Charles Nduku ku share na sisi jinsi ya kujenga brand yenye kunasa wateja.
  continue reading
 
Kama wewe ni mjasiriamali uliyekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi leo ni sikukukuu yako. Mambo utayojifunza katika sehem hii si kuwa itakusaidia kupata wateja tu Ila itawafanya wateja hao wakubembeleze kununua bidhaa/huduma unayotoa.
  continue reading
 
Brian Tracy anasema "Kuna jambo moja la msingi unalotakiwa kufanya kabla ya kuuza bidhaa. Nayo ni kujenga uaminifu." Jambo linalokukosesha wateja kwa kiasi kikubwa kuliko jambo lolote na kutoaminika mbele ya macho ya wateja wako. Katika sehemu ya leo utajifunza namna ya kufanya hivyo.
  continue reading
 
Kama wewe ni mjasiriamali unayekata tamaa haraka kutokana na kutotimiza malengo yako basi inaonekana umekumbatia sana matokeo badala ya safari ya matokeo. Ndani ya sehemu hii utajifunza umuhimu wa kuenda safari ya Mafanikio kuliko mafanikio yenyewe.
  continue reading
 
Kama wewe una hamu ya Kupambana lakini unajikuta huchukui hatua basi unasumbuliwa na tatizo Sugu sugu la kughairisha.Sikiliza sehemu ya podcast ya leo kufahamu kwanini unalo hilo tatizo na jinsi ya kutatua...
  continue reading
 
Loading …

त्वरित संदर्भ मार्गदर्शिका